Bei ya jezi mpya ya Ronaldo ‘Juventus’ ni mshahara wa mwalimu Tanzania
Imekuwa ni wiki yenye furaha kwa Mreno, Cristiano Ronaldo baada ya
kuvuta mkwanja mrefu kutoka klabu ya Juventus wakati mashabiki wa
vibibi hao wa Turin wakimiminika kununua jezi za staa huyo.Jezi halisi ya Ronaldo ambayo imetengenezwa na klabu ya Juventus ambazo ni za mechi za nyumbani zinagharimu kiasi cha dola 144.95Jezi hiyo hiyo ya nyumbani kwa upande wa wanawake inagharimu kiasi cha dola 94.95 ambayo ni sawa na Tsh 215977.78 ambayo ni sawa na Tsh 329715.16.Jezi hiyo hiyo ya nyumbani ya Ronaldo kopi yake ambayo siyo origino inauzwa kwa kiasi cha dola 104.95 sawa na Tsh 238687.62Wakati kwa watoto jezi hiyo ya nyumani unaweza kuinunua kwa dola 79.95 ambayo ni sawa na Tsh 181,848.64.Wakati mshahara wa mwalimu hapa nchini kima cha chini ni sawa na Tsh 331000 kwa mwezi.Ronaldo mwenye umri wa miaka 33, ameingia kandarasi ya pauni milioni 105 kutua Juventus siku ya Jumanne akitokea ReRonaldo alikutana na rais wa timu ya Juventus, Andrea Agnelli mchana wa
siku ya Jumanne kwenye hoteli huko Greece ambapo alikuwa mapumzikoni na
mpenzi wake pamoja na familia kabla ya kukubali dili hilo la miaka minne
ambalo atavuna kiasi cha pauni 500,000 kwa wiki.al Madrid.Hapo jana siku ya Alhamisi nyota huyo ameonekana akifurahia maisha na
familia yake akiwa sambamba na marafiki zake akiposti picha kwenye
instagram inayo muonyesha akipata chakula cha usiku.
No comments: