Huddah Monroe Ataja Kinachowafanya Wanaume Wasibanduke Kwake
Mrembo kutokea nchini Kenya, Huddah Monroe amefunguka kitu ambacho kinavutia wanaume kutoka kwake.
==
Mrembo
huyo ambaye alikuwa hapa nchini hivi karibuni, katika mahojiano na
Wasafi TV amesema tabasamu lake ndilo linavutia wanaume wengi.
“Which part on my body wanaume wengi wapo attractive is….., I think is my smile,” amesema Huddah.
June
17, 2018 katika show ya Harmonize ‘Kusi Night’, Huddah ni miongoni mwa
wale waliotoa burudani ya aina yake. Alipanda jukwaani na kucheza ngoma
ya Diamond ‘ African Beauty’ kitu kilichoibua shangwe la aina yake.
No comments: