Mtoto wa Phil Neville afuata nyayo za baba yake
Mtoto wa mchezaji wa zamani wa Manchester United, Phil Neville
anayejulikana kwa jina la Harvey amefuata nyayo za baba yake baada ya
kuingia kandarasi na mashetani hao wekundu.
Neville Snr mwenye umri wa miaka 16 ameutambulisha ulimwengu wa soka kuwa amesajiliwa na United baada ya kuposti picha yake kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram hapo jana siku ya Jumanne akiandika kuwa anafuraha mara mbili moja kusajiliwa na ya pili ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa.
Phil ambaye kwa sasa ni meneja wa timu ya taifa ya Uingereza kwa upande wa wanawake wanawake ameiwakilisha klabu hiyo ya Old Trafford mara 386 wakati wa miaka 15 akiwa na United. kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram amemtakia mwanae, Harvey Neville mafanikio mema katiki kipindi hiki ambacho anakwenda kutimiza ndoto zak

No comments: