Peru Yashinda Mechi Kombe La Dunia Baada Ya Miaka 40
Timu
ya taifa ya Peru imemaliza mechi zake za makundi kwa ushindi wa mabao
2-0 dhidi ya Australia na kuvunja rekodi yake ya kutoshinda mchezo
kwenye Kombe la Dunia tangu mwaka 1978.
Tangu
ishinde mechi yake ya mwisho dhidi ya Iran kwa mabao 4-1, imepita miaka
40 na siku 15. Ushindi wa Peru jana haujaisaidia kusonga mbele ambapo
imetoka pomoja na timu ya Australia.
No comments: