Mkuu wa Majeshi Mstaafu Davis Mwamunyange Kateuliwa na Rais Maguful
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua
Jen. Mstaafu Davis Mwamunyange kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya
Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA).
Jen. Mstaafu Mwamunyange ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Mstaafu. Uteuzi wa Jen. Mwamunyange unaanza July 7, 2018.
No comments: