Gigy Money: Ningekuwa Mwanaume Kamwe Nisingetembea Na Irene
Bifu kati ya mwanadada Gigy Money na Irene bado linaendelea na wanazidi kutoleana maneno ya kashafa katika mitandao ya kijamii.
Hivi
karibuni Gigy Money amefunguka na kumponda vibaya mwanadada Irene na
kumwambia kuwa hana uzuri wowote labda ile rangi ndio inayompa kiburi
mjini.
Katika
Interview yake Gigy Money anasema kuwa Irene sio mtu wa kutamani
kukutana nae personally kama watu wengi wanavyomuona alivyo huko
Instagram , lakini ni msichana wa kawaida tu na hana uzuri wowote huku
akiongezea na kusema kuwa kama angekuwa mwanaume wala asingehangaika
kutoka kimapenzi na Irene.
"Sijawahi
kufikiria kumpenda hata siku moja na hata siku tunakutana i was too
drunk,na nilipokutana nae sikumjua hata mana live na personal ni tofauti
kabisa,mimi ni mwanamke lakini ningekuwa mwanaume wala nisingepita."
No comments: