KWA NINI MAPENZI YA SASA HAYANA FURAHA?
Maisha yenye FURAHA wengi
wanayapata kwa njia ya usaliti, Kwa sababu ndani ya UONGO kuna bashasha
na burudani lukuki japo si za kudumu, Ndani ya UKWELI huna furaha kwa
sababu hakuna mambo yapozayo moyo kama wengi wapendavyo ila kuna
misimamo ambayo wengi haiwapi kuona burudani bali wanajiona kama mateka,
Ndo maana unakuta ndoa nyingi ama mahusiano mengi yametawaliwa na
majuto, kila mmoja kujutia KWANINI NILIMKUBARI bila kujua chimbuko la ukosefu wa FURAHA YA KUDUMU... Jibu ni dogo sana katika kitemdawili hiki;
NI KOSA KUANZISHA MAPENZI AMA KUINGIA KWENYE NDOA KWA SABABU ZAKO BINAFSI badala ya kutimiza matakwa ya NDOA
💑Unakuta
mtu ana sababu ndogo kabisa "WATU WANIONE NAMI NINA MTU" unategemea
kitakachofuatia katika hitaji lako ni nini? MAUMIVU YA MAPENZI YANAISHI
DAIMA MPAKA MWISHO WA UHAI kwa sababu huwezi kuumia bila kuwa na UPENDO
WA DHATI... Kukwepa mateso ya MAPENZI NI KUTOUTENDEA YAKUUMIZA MOYO WA
MWENZA WAKO WAKATI UNAJUA UNAMPENDA kwani Moyo una majibu mabaya ikiwa
UTABAINI UNADHURUMIWA HAKI ZAKE! Kama huwezi kumpenda kwa hakika USIMPE
YATAKAYOMFANYA AJIONE YUKO MAHALA SALAMA japo itamuuma ila itamsaidia
kuizoea hali KABLA MAZOEA hayajashika kasi moyoni, MAPENZI YANAUMA NDUGU
ZANGU hasa ukibaini umpaye MOYO wako amwkufanya NAFUU YA MAHANGAIKO
YAKE
😭
😭
😭
Mhurumie akupendaye asije kuumia, Maumivu hujenga hasira pamoja na ROHO MBAYA... Majibu ya moyo uliojeruhiwa ni hatari kwa MAPENZI! Ukiona umekomaa na HASIRA ZA MAPENZI ujue hauko nomal
😅
😅
#Maktaba_kasema_ila_sio_sheria.Endeleeni kusoma habari motomoto kupitia maktaba blog by anthony malegesi (maktaba blogger)

No comments: