Picha: Mamia ya washabiki wajitokeza kumpokea Wayne Rooney Washington
Mamia ya washabiki wa klabu ya DC United wa mejitokeza hapo jana kwenye
uwanja wa ndege huko Washington nchini Marekani kushuhudia ujio wa
mshambuliaji wao mpya, Wayne Rooney aliyesajiliwa na timu hiyo.
Rooney amejiunga na DC United inayoshiriki ligi kuu ya nchini Marekani MLS kwa kandarasi ya miaka mitatu na nusu huku ikielezwa kuwa uamisho wake umegharimu pauni milioni 12.5.
Rooney amejiunga na DC United inayoshiriki ligi kuu ya nchini Marekani MLS kwa kandarasi ya miaka mitatu na nusu huku ikielezwa kuwa uamisho wake umegharimu pauni milioni 12.5.
No comments: