Sipati ugumu wowote WCB, tunaelewana lugha – Laiza
Producer kutokea Wasafi Records, Laiza amesema kwa sasa kufanya kazi
katika studio hiyo na wasanii wa WCB hakuna ugumu wowote ukilinganisha
na haLaiza amesema hayo akipiga stori na Maktaba blog hivi karibuni ambapo ameeleza kila msanii anaenda naye sawa.
“Kwa sasa hivi sipati ugumu wowote labda kwa kipindi ambacho hatujazoeana ugumu ulikuwepo lakini kwa sasa hivi wote tunaelewana lugha, kwa hiyo hakuna ugumu,” amesema.
Hivi karibuni Laiza alifunguka kabla ya kuanza kufanya kazi Wasafi Records alishafanya kazi na wasanii kama Ice Prince kutoka Nigeria, Ommy Dimpoz, Alikiba na Marehemu Sharo Milionea.
po awali.

No comments: