Jeshi la polisi Tanzania linawatangazia vijana wote wa JKT waliopita oparesheni Kikwete kusitishwa kwa maombi ya ajira mpya zilizokuwa zimetangazwa hivi karibuni kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Hivyo hakutokuwa na upokeaji wa maombi mapya kama ilivyokuwa imetangazwa hapo awali. Aidha iwapo kuna waombaji wa ajira mpya ambao walikwisha tuma maombi yao ofisi ya kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, mnajulishwa kusitishwa kwa zoezi hilo. Sting Achi [Mussa A. Taibu – ACP] Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya.
No comments: