Header Ads

Rais Magufuli anafanya mkutano na viongozi wakuu wastaafu (+Picha)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anafanya Mkutano na viongozi Wakuu Wastaafu wakiwemo Marais, Makamu wa Rais, Maspika, Mawaziri wakuu na Majaji wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Powered by Blogger.